KSh881.00

Moran Kiswahili Chanana, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 10

In Stock
Add to Wishlist
Add to Wishlist

Did you like this product? Add to favorites now and follow the product.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category:

Description

Kiswahili Chanana, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya Kumi ni kitabu kilichoundwa kwa dhamira ya kumwezesha mwalimu kufanikisha ujifunzaji wa yaliyomo katika Kiswahili Chanana, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya Kumi. Mwalimu anaelekezwa jinsi ya:

  • kutumia maswali dadisi ili kumfikisha mwanafunzi,

  • kukuza umilisi na mtagusili kulingana na mada ndogo mbalimbali,

  • kuyuanganisha masuala mtambuko katika mada ndogo mbalimbali,

  • kubuni mbinu na vifaa vya kutathmini kazi ya mwanafunzi baada ya kushughulikia kila mada ndogo,

  • kubaini mbinu mwafaka za ujifunzaji kwa kuzingatia upekee wa mwanafunzi,

  • kutambua mahitaji maalum ya kielimu na jinsi ya kuwashughulikia wanafunzi wenye mahitaji hayo,

  • kuandaa na kutunz nyenzo za ujifunzaji,

  • kujiandaa ifaavyo ili kufanikisha vipindi vya somo la Kiswahili.

Hayo na mengine mengi yanadhihirisha kumwezesha mwalimu kufanikisha vipindi vya Kiswahili.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Moran Kiswahili Chanana, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 10”

Your email address will not be published. Required fields are marked *