KSh696.00

OUP Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 3

In Stock
Add to Wishlist
Add to Wishlist

Did you like this product? Add to favorites now and follow the product.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Affordable Prices

Great deals on single and bulk items.

Secure Payments

Pay easily via Paybill or direct bank transfer.

Customer Support

We’re just a call away to help with orders, lists, or custom branding.

School List Bundles

Share your school list, and we’ll bundle every item correctly for you.

Category:

Description

Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevile Sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia, vinakuza umilisi utiopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3, utapata:

  • mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala mpya.
  • mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
  • mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
  • mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
  • mazoezi yanayompa mwanafunzi fursa ya kujitathmini.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “OUP Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 3”

Your email address will not be published. Required fields are marked *