KSh300.00

Uteuzi wa Chale Lvl 7 (One Planet)

In Stock
Add to Wishlist
Add to Wishlist

Did you like this product? Add to favorites now and follow the product.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category:

Description

“…binadamu ametunukiwa vipawa anuwai na Mwenyezi Mungu. Kuna vile ambavyo ni wazi kama meno ya ngiri
ambavyo hata wenzake wanaviona. Kuna vile ambavyo sharti mja mwenyewe ajikune kichwa kuvitambua na kuvipalilia, hata
kwa kusaidiwa na wengine. Hata hivyo, binadamu ana hiari ya kukikuza kipawa akitakacho. …uteuzi wa utakachotumia zaidi
kwa ajili ya kuitumikia jamii yako utakuwa wako binafsi.”

Uteuzi wa Chale ni kisa cha kusisimua kuhusu Chale, kijana anayejinyanyua kuvitambua vipawa alivyojaliwa na kuvikuza
kwa manufaa ya jamii yake, licha ya vikwazo vinavyomkabili. Hadithi hii inampa msomaji fursa ya kujitambulisha na mazingira yake na kumpa stadi za kukabiliana na_hali zinazomkumba.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Uteuzi wa Chale Lvl 7 (One Planet)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *